1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaNigeria

Jinsi ya kushinda vita dhidi ya msongo wa mawazo

05:29

This browser does not support the video element.

29 Desemba 2023

Kueleza jinsi mtu anavyohisi anapokumbwa na msongo wa mawazo kunaweza kutisha. Daktari wa afya na pia mshawishi wa masuala ya afya mitandaoni Aproko Doctor anakutana na kijana wa Nigeria ambaye anaeleza kuhusu dalili za msongo wa mawazo na alivyozikabili ikiwemo usaidizi wa marafiki na familia na kwa kuzingatia mambo yanayomfurahisha. #AfyaYanguKwaUhakika #VijanaMubashara #MsongoWaMawazo

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW